MAKAMUZI YA SHILOLE NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

No Comments
Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.
Wacheza show wa msanii wa Shishi Baby wakifanya yao.
Shishi Baby akifanya makamuzi.
Shishi Baby akiagana na Mashabiki wake baada ya kufanya makamuzi ya ukweli katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
back to top