(Video)Kama ulimisi kuona ujio mpya wa Mr. blue aka Bayser.

No Comments


Image result for mr blue images
Baada ya kukaa kimya sasa inaonekana Mr.Blue aka Bayser ameamua kuanza kutoka na crew yake nzima sasa hivi, Mr Blue ambaye ameonekana kuzidi kutoka na kundi lake la BOB Micharazo na si tena kama tulivyokuwa tumezoea kumuona hapo zamani akiwa solo artist, ameibuka na kuendelea kufanya yake, hapa akiwa ametoka ki-HipHop zaidi, je kwa staili hii unadhani kuwa Mr Blue naye atatoboa na kufika mbali level za Weusi?, angalia kichupa hiki kipya kinaitwa “Kimya”.


back to top