
Hivi ndio jinsi Diamond Platnumz alivyokuwa anakula jana bata pale kwenye party iliyoandaliwa, ikiwa ni kama kwenye kukaribisha tuzo za BET zinazotarajiwa kufanyika hii leo, Diamond Platnumz wakati huu alikuwa akiparty mwenyewe bila wife to be wake Wema Sepetu, ila alikuwa pamoja na team yake nzima ya wasafi ambayo aliongozana nayo.