Hii single inaitwa ‘Wahaladee’ ambayo ni miezi kadhaa imepita tangu itoke rasmi kwenye Radio lakini July 25 2014 Watanzania wameletewa video yake ambayo imeongozwa na Nick Dizzle ambapo kingine kikubwa kwenye hii video ni mrembo alieigiza ndani yake, ni mke wa ndoa wa Barnaba (Mama Steven)
Video imefanyika Kenya na Tanzania.