GOLI LA MAAJABU ALILOFUNGA VAN PERSIE KUMBE NI KWA UWEZO WA FRIMASON, TAZAMA HAPA
lile bao alilofunga robin van persie na kuzua gumzo ,limeendelea kupasua vichwa vya watu mbali mbali ambapo wngine wameibuka na kudai sio bao la kawaida bali alilifunga kwa nguvu za free masoni, moja ya picha iliyoshika kasi mtandaoni ni hii hapa chini tazama mwenyewe