Davido am’bania tena DiamondPlatnumz tuzo.

No Comments

Screen-Shot-2014-06-29-at-9.07.09-PM

Ni mara nyingine tena msanii kutoka Nigeria kuchukua tuzo, akiwa amegongana
katika category moja na Diamond Platnumz, kwa watzee tuzo haikuwa bahati
yetu tena kwa mara nyingine, ingawa kwetu sisi na Diamond wetu ndio mwanzo tu,
 ndio kwanza kunakucha, kama asemavyo yeye mwenyewe “Mdogo mdogo”,
 hatua moja baada ya nyingine. Davido amefanikiwa kuchukua tena ile tuzo yetu

 tuliyokuwa tunatarajia kurudi nayo nyumbani, kupitia account yake ya instagram
ali-post picha akiwa ameshikilia hii tuzo yake ya BET.
Screen-Shot-2014-06-29-at-9.07
Screen-Shot-2014-06-29-at-9.13.38-PM

Je, umezisoma hizi ?

back to top