Habari zilizopo zinasema kwamba CEO wa badboys enterntainment aliyekuwa anaitwa Didy, hataki tena kuitwa hivyo na sasa anataka tena kuitwa Puff Daddy, akiwa ni msanii milionea ambaye amekuwa na vituko kila kukicha kwa kutaka kupadili majina yake kila baada ya miaka kadhaa, naona sasa mwaka huu amekosa option na kuamua kujikumbushia jina lake la zamani na kutaka kuitwa Puff Daddy kama alivyokuwa amezoeleka hapo mwanzo, kabla ya kudai kuwa anataka kuitwa Diddy.
