Rumors has it kuwa Vanessa mdee ataonekana kwenye studio za cocacola, mbali na Diaond Platnumz na lady Jaydee, Vanessa Mdee ndio mwanamuziki watatu kuongeza list ya wasanii wakali kutoka Bongo waliofanikiwa kusign deal hilo la kuperform ndani ya studio hizo za cocacola. Kupitia account yake ya instagram alifunguka mbele ya mashabiki wake kutarajia kumuona aki-perform live katika studio, ndani ya Coke Studios Season Two zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni. “Coke Studio Africa
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)