tazama video ya ngoma mpya ya nicki minaj… Unknown No Comments Tweet Nicki minaj ameachia video yake ya kwanza kutoka kwenye album yake mpya inayojulikana kama “The Pink Print“. Album hii ni ya tatu kutoka kwa nicki minaj ukiacha ile iliyotoka kabla inayoitwa “Pink Friday: Roman Reloaded“.