
Hatimaye hii siyo siri tena, mengi yalikuwa yanasemwa na wengine wakizusha mengi kuwa yule mcheza filamu aliyechukua tuzo za Oscars mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyongo hatimaye afunguka na kumuonyesha wazi mpenzi wake, Kama unamkubuka yule mwanamuziki aliye-make headlines sana na nyimbo yake maarufu ya Waving Flag “K’naan”, ndiye mpenzi wa kweli kabisa wa Lupita Nyongo.

Unaambiwa kuwa, yani hata kabla Lupita hajapata umaarufu huu aliokuwa nao hivi sana, jamaa ndio aliyekuwa anakula mingle na hadi kufanikiwa kumpata, ni baada ya muda tu ya mapenzi yao ndio Lupita kuanza kupata umaarufu mkubwa duniani hasa huko hollywood na inasemekana hadi hivi sasa Lupita Nyongo mbali ya kusifika kwa urembo wake, anamkwanja mrefu sasa hivi tofauti na mwaka mmoja tu uliopita.
