Baada ya Nay wa mitego kutanzaza kununua gari jipya aina ya Nissan Murano kwenye sherehe yake ya kuzaliwa ikiwa ndio mara ya kwanza anafanya sherehe hiyo, sasa jamaa ameamua kuionesha gari hiyo mpya kabisa ya mwaka 2007 yenye thamani ya shillingi millioni 35 za kitamzania.
