cheki lulu akionesha ghetto lake…noma sana!!!! Unknown No Comments Tweet Mwanadada Elizabeth Michael “lulu” leo ameamua kufunguka na kuwaonyeha wabongo jinsi ghetto lake lenye rangi nyekundu lilivyokamilika vilivyo. Lulu ameonyesha hadi choo chake kilivyo kikali… duh! ebu cheki mwenyewe…..