Ni miongoni mwa single ambayo imepanda juu kwa haraka zaidi ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo wakati audio ikiendelea kuchukua headlines, WEUSI wameidondosha video yake ambayo ilitazamwa kwa mara ya kwanza na waalikwa wachache kwenye party ya WEUSI April 30 2014. Video imefanywa Kenya.