SIRI 5 ZA MAPENZI KWA WANAWAKE

No Comments
Haya maelezo hayamaanishi siri hizi wazijue wanawake, lakini ni siri zinazowahusisha wanawake wengi, kwa vile hapa tunaongea
 na wanaume wengi basi ni vyema nikazieleza ili wanaume 
wengi wafahamu siri zinazowahusu wanawake wao!!! 

1. Wanapenda Kufanya Map#nzi ya kupishana 

 

Tofauti na wanaume, ambao wakimaliza baada ya dakika
 chache huwa na hamu ya kutaka kuendelea tena hasa
 baada ya kuoga, wanawake wenyewe wakimaliza wanahitaji
 kupumzika muda mrefu kidogo, yaani angalau siku 2,
 kabla ya kuhitaji tena marudio ya mechi na hasa mechi
 yenyewe ikiwa nzito. So mume usitake kila siku upewe!

2. Wanapenda Umalize ndani ya muda, Usizidishe muda!

Mume, elewa mkeo anapenda Map#nzi na wala hapendi 
"Roboti la Map#nzi", kwa hiyo ukiwa katika Game usitake
 Kumkomoa, na pia Usiwe Mchovu Kitandani! 

3. Wengine hawapendi kuchezewa na kidole!

Duh, hapa unawezaona unamgusa maeneo nyeti
 anautoa mkono, au kama atakuachia basi mkono
 utabanwa, au kabla haujafanya mbwembwe sana
 anakuambia tayari muingize mzee mzima ndani, 
yuo tayari kumpokea!

 


4. Wanawake wanapenda Mambo Mapya!

Jaribu kuwa mtundu na mbunifu kiasi chakumuonjesha
 mambo mapya kila leo! Wake zenu wanapenda hivyo
 japo ataogopa kukueleza kwa baadi yao lakini usifanye 
mambo vile vile kila siku, uwe unaleta mambo mapya
 kila leo!

5.P#nzi Chai

Siku za Nyuma niliandika kuhusu penzi kabla ya kiu 
hochote asubuhi, elewa kuwa miongoni mwa wake zetu 
wanalipenda hili na usiku wake kama hatukucheza
 mechi zetu!

Kwa hayo machache natumaini waume mtayazingatia
 na kuyafanyia kazi ili map#nzi na ndoa zetu zizidi
 kuimarika!
back to top