Kwa mara ya kwanza huu wimbo ulipata nafasi ya kusikilizwa na Watanzania pale kwenye utolewaji wa tuzo za KTMA 2014 wimbo unaitwa ‘mfalme’ wa Mwana Fa ameshirikishwa G nako na umefanywa na Producer Nahreel. Baada ya kuusikiliza usiache kuandika yako ya moyoni kwenye comment hapa chini kisha Mwana FA atapita hapa usiku kusoma ulichoandika. Bonyeza play kusikiliza.