
Mwanamitindo wa kimataifa wa Marekani,
Naomi Campbell mwishoni mwa wiki jana
alikumbwa na tukio la aibu baada
ya tatizo lake la kusahau kuvaa chupi
kumsababishia tatizo kubwa wakati
akishuka kwenye gari lake na kukumbana
na camera za wapiga picha za kidaku....!
Kutokana na kutovaa nguo hiyo ya ndani,
Naomi wakati akishuka kwenye gari lake
hilo alijikuta nguo zake zikifunuka na
kuacha wazi kabisa nyeti zake, na wapiga
picha hao wakafanikiwa kumpiga
picha kadhaa ambazo zimesambaa mtandaoni....

Wengi wa walioziona picha hizo wameibua
mjadala mtandaoni kwa kumtuhumu
mwanamitindo huyo kwa kutojitunza
kwenye nyeti zake.