STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amejinyakulia jumla ya tuzo saba katika zoezi la utoaji tuzo za Kili lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam! Tuzo alizotwaa Diamond ni hizi hapa:
1. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz
2. MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond
3. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA/KUSHIRIKIANA - Muziki Gani, Nay wa Mitego ft Diamond
4. MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond
5. VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA - Number One, Diamond
6. WIMBO WA MWAKA - Number One, Diamond
7. MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond