CHECK VIDEO NA UIDOWNLOAD:Video nyingine ya Nigeria inayovipa tabu vituo vya TV kuicheza. ( 18+ )

No Comments


Labda ingekua ya msanii wa Tanzania, Kenya, Uganda au Rwanda hii video ingekua imeshafungiwa kwenye nchi anayotoka kama ambavyo tumeshuhudia kufungiwa kwa video zisizopungua kumi kutokana na kudaiwa kuvunja maadili.

Kwa mujibu wa ripoti iliyoifikia nchi ambayo imeongoza kwa kufungia video Afrika Mashariki ni Rwanda ikifuatiwa na Kenya kisha Tanzania.
Hii video ya leo ni ya msanii wa Nigeria anaitwa Timaya akiwa na Mjamaica Sean Paul kwenye remix ya bum bum ambayo imepokea maoni tofauti kwenye mitandao mbalimbali baada ya hawa warembo kuonekana ndani yake walivyovalia.
Video hii pia inaendelea kupata airtime kwenye vituo hata vya nyumbani Nigeria na sijaona taarifa zozote za kufungiwa.
Screen Shot 2014-05-08 at 12.27.54 AM
Screen Shot 2014-05-08 at 12.26.43 AMScreen Shot 2014-05-09 at 3.54.22 AMScreen Shot 2014-05-09 at 3.55.22 AM
back to top