SHOGA LATISHIA AMANI ZA WANAWAKE KARIAKOO..WANAWAKE WAJIKUSANYA KUMSUTA ILI AACHE KUCHUKUA WAUME ZAO

No Comments
Idara ya Hekaheka leo ina taarifa kuhusu shoga mmoja aliyepo Kariako0 ambaye wanawake wa Kariakoo wamejikusanya mpaka kwa shoga huyo kwenda kumkanya na sababu ni tabia ya kuchukua wanaume wao,ungana na Geah Habibu wa Clouds Fm kwenye Hekaheka hii.
 Bonyeza play kusikiliza.


back to top