SAMIA HASSAN NDIYE MAKAMU MWENYEKITI BUNGE LA KATIBA

No Comments
http://pamojasisi.blogspot.comSamia Suluhu Hassan.
Samia Suluhu Hassan ndiye Makamu Mwenyekiti wa Kudumu Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata kura 390 sawa na 74% na kumshinda mpinzani wake
Amina Abdallah Amour aliyepata jumla ya kura 126 sawa na 24%. Kwa matokeo hayo, Samia Hassan ataungana na Samuel Sitta aliyechaguliwa jana kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa bunge hilo katika mchakato mzima wa kupata katiba mpya.
back to top