vinaendelea hii sio movie Bali ni series ...Hawa watu au hii group yao haiongei wala kujibu kitu ni watu wanaojua wanafanya nini Halima ni rafiki mkubwa sana wa dangote kushinda hata esma dada wa dangote arafu ni kipenzi cha penniel huyo esma dada wa dangote ndio nr one kipenzi wa penny huyo Queen darlin ndio best wa penny Mama yake Naseeb ndio usiseme harafu sasa wale madansa na wapiga picha hadi madirector ni wapo na penny nikutonye tu esma anaishi na penny ile Nyumba ni dangote kailipia Sisi tunasubiri next season Ya hiyo series.. Kwani unafikiri nini si nini tu huyo wema mbona hapelekwi huko kwenye hizo shughul basi kama sio mapenzi Ya biashara ni nini ??! Tunajua dangote yupo njiani kuachia nyimbo yake Mpya na tunaisubiri wema aendelee kupeperusha kibendera maana ndio msukule wa dangote hapo alipo ni zezeta..
MMH...JISOMEE MAZITO KUHUSU YA DIAMOND, PENNY, MAWIFI, WEMA NA MAMA DIAMOND...NI SHIDAA AISEEE..SOMA ZAID HAPA