vyema ukizingatia kufanya hivyo ukahakikisha chumba chako cha kulala kuna bafu,
na vizuri kamalitakuwa la beseni kama lilivyo hapo juu lakini kwa wasioweza
kuwa nayo basi sio vibaya ukipata hela umpeleke mpenzi wako mkalale japo siku moja kwenye hoteli najua kwa uzoefu hoteli nyingi za sasa zinahayo mabafu.
sio wakati wote mapenzi yafanywe kitandani jamani, uzuri mbadilishe,
sio wakati wote mapenzi yafanywe kitandani jamani, uzuri mbadilishe,
kama kitandani, jikoni, sebleni, kwenye gari mapenzi ni kitu cha ubunifu sio
sehemu moja tu wa kuchezea (mimi huuita mchezo wa upendo).
kuna wanaume wengine wasiopenda mambo ya ubunifu kama huu
kuna wanaume wengine wasiopenda mambo ya ubunifu kama huu
wakati wanawake wengi hupendelea mambo kama haya, basi wewe baba, kaka,
mjomba jitahidi kumridhisha mpenzi wako ni mambo madogo lakini mzuri ambayo humchanganya mwanamke.
bafuni ndio sehemu yangu niipendayo kuliko zote, pakiwa
bafuni ndio sehemu yangu niipendayo kuliko zote, pakiwa
pamezimwa taa na kuwashwa mishumaa ya upendo yenye manukato,
na melody kwa mbali sio ufungulie mziki mkuubwa ukaharibu yale mapenzi
yanayozunguka kati yenu, mkiwa na wine pembeni..
maji ndani ya beseni yanaweza yakawa ya uvuguvugu ili kufanya mwili kurelax,
maji ndani ya beseni yanaweza yakawa ya uvuguvugu ili kufanya mwili kurelax,
ukaweka na sabuni ya maji yenye kutoa mapovu isiwe na harufu ili isichanganyike
na harufu ya mishumaha ili harufu zisije kuharibu wakati..
mda huo ukiutumia kumvutampenzi wako kwa karibu ukimpapasa mwili
mda huo ukiutumia kumvutampenzi wako kwa karibu ukimpapasa mwili
wake na kumsifia jinsi alivyoumbika, hata kama hana mwili uupendao lakini
msifu kwani huyo ndio mpenzi wako, na wakati huo hutakiwi kufikiria chochote cha zaidi bali
ni huyo tu uliyekuwa naye mbele yako..
wakati mziki wa mapenzi ukipiga taratibu acha miili yenu iongee
wakati mziki wa mapenzi ukipiga taratibu acha miili yenu iongee
yenyewe mkiwa mmekumbatiana kwa upendo na upendo huo uendelee
mpaka mtakapotosheka....