Wema na Diamond.
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameonekana
kudatishwa na kipara cha mpenzi wake Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu baada ya kutupia picha yao inayomwonesha Wema mwenye kipara katika akaunti yake ya Instagram. Baada ya kuweka picha hiyo, Diamond
aliandika yafuatayo: