JACK CHUZI: MTASUBIRI SANA SIACHIKI NG'O

No Comments
MWIGIZAJI Bongo, Jacqueline Pentenzel ‘Jack Chuz’, amewabwatukia mashostisto zake ambao wanaomba aachike kwa mumewe Gardner Dibibi, kuwa wanajisumbua kwani hatoachika.

Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’.
Akiizungumzia ndoa yake yenye umri wa zaidi ya mwaka mmoja, Jack alisema hata wakigombana huwa wanapatana haraka:
“Najua wapo wanaokesha kuomba tuachane, niwaambie tu, watasubiri sana mpaka watachoka, siachiki ng’o,” alisema Jack
back to top