HUYU NDIYE VIDEO QUEEN CHIPUKIZI KUTOKA CBE DODOMA ANAYEFANANA NA WEMA SEPETU, NI SHIDAH MJINI:

No Comments
Huyu ndiye mrembo atakayehuka kwenye kichupa cha msanii maarufu kama Jaco Beats kwenye wimbo wake mpya unaoitwa walionuna,
 Video queen huyu chipukizi anayefanya vizuri na ataendelea kufanya vizuri ni mwanafunzi wa CBE Dodoma wa mwaka wa kwanza ambaye anatambulika kwa Jina la Caro ambapo wengi wao hudhani yeye ni mmoja kati wa ndugu wa Beautifully Unyinye,Madam Wema sepetu kwa jinsi walivyofanana,


Kaa tayari sasa kwa kumwona kwenye kichupa cha Jaco Beats - Walionuna ambacha soon kitakuwa hewani. 





back to top