Dar es Salaam. Tuzo za Muziki, maarufu ‘Kilimanjaro Music Award’ zimezinduliwa rasmi jana na zitafikia kilele chake Mei 3 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuzo hizo zinaratibiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa kushirikiana na TBL kupitia kinywaji chao cha Kilimanjaro.
Mratibu wa Tuzo hizo kwa upande wa Basata, Kurwijira Ng’oko alisema mwaka huu wameboresha zaidi tuzo hizo, ambapo hivi sasa wanataka muziki uwe ni ajira rasmi kwa hiyo msanii ambaye atapendekezwa katika vipengele vya tuzo hizo kama hajasajiliwa Basata hataruhusiwa kushiriki.
Ng’oko alisema pia tuzo ya mtayarishaji chipukizi wa mwaka haitakuwapo kwa vile watayarishaji ni wale wale kila mwaka na hivyo kufanya tuzo kujirudia.
Ng’oko alisema pia tuzo ya mtayarishaji chipukizi wa mwaka haitakuwapo kwa vile watayarishaji ni wale wale kila mwaka na hivyo kufanya tuzo kujirudia.
 |
Ben Poul |
Naye meneja wa bia ya Kilimanjaro ambao ni wadhamini wa tuzo hizo, George Kavishe alisema kuwa Watanzania ndio watakaoteua msanii atakayeingia kwenye mchakato wa kinyang’anyiro cha tuzo hizo kwa kutoa mapendekezo yao kwa njia ya simu au mitandao ya kijamii.
This is how it was in some past years, will the legendaries have their thrones again? .......
lets wait for the nominies but ndo kimeshatupiwa mikonon mwa watoto wa Jakaya aka area code+255
 |
Diamond Platinumz akifanya yake |
 |
Ally Kiba fo real with Super handsome Ommy the Diiiimpoz |
 |
King Crazy GK akishow love kwa fans.. |
 |
Queen of mipasho Khadija Kopa |
 |
anaitwa Binamu, mwanaFA akifanya yake |
 |
lady Jaydee akipoz na tuzo zake |