BIG DADDY V AFARIKI DUNIA

Big Daddy V enzi za uhai wake.

Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.
Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.
rest in peace The Heavy weight Biggy

back to top